MAFUNZO KWA WAWEZESHAJI NGAJI YA JAMII

MAFUNZO KWA WAWEZESHAJI NGAJI YA JAMII

Shirika la AFNET MANYARA kwa ushirikiano wa shirika la SO THEY CAN Tanzania limetoa mafunzo kwa wawezeshaji ngazi ya jamii kutoka kata 10 za Babati Mji na wilaya ya Babati kuhusu ukeketaji, ukatili wa kujinsia na ndoa za utotoni. Mkoa wa Manyara ni kinara kwa ukeketaji ukiwa na 43%, akiongea wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo Afisa Maendeleo kutoka wilaya ya Babati Bi. Doto Balele alisema sisi tuliopata mafunzo tukawe vinara katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia katika jamii zetu ili kulinda utu wa mwanamke na mtoto.Pia alisema ofisi yake ipo wazi muda wote ili kutoa msaada pale unapohitajika kwa wadau wa maendeleo.

Leave a Comment

Your email address will not be published.

Follow by Email
Instagram