AFNET yashiriki Kikao cha NGONEDO

AFNET yashiriki Kikao cha NGONEDO

AFNET tulishiriki kikao cha pamoja na wadau wengine kutoka kanda ya magharibi ikijumuisha mikoa 5 ya Dodoma, Katavi, Singida, Kigoma na Tabora katika mradi wa URAIA WETU kilichofanyika manispaa ya Tabora tarehe 06/04/2024. Kikao kililenga kukusanya changamoto ambazo AZAKI (Asasi zilizo za Kiserikali) zinapitia katika utekelezaji wa shughuli zao ili kuweka mazingira wezeshi ya kufanya kazi kwa AZAKI nchini Tanzania.

Kikao hicho kiliandaliwa na mtandao wa mashirika yasiyo ya kiserikali kutoka mkoa wa Dodoma (NGONEDO) kwa ufadhili wa Foundation for Civil Society (FCS).

Leave a Comment

Your email address will not be published.

Follow by Email
Instagram