AFNET
  • afnetdodoma@yahoo.com
  • 0765023860
  • www.afnettz.org
  • DODOMA/TANZANIA

AFNET inatekeleza mradi wa uwajibikaji na ufuatiliaji jamii katika kijiji cha Chinangali II kwa ufadhili wa Foundation for Civil Society (FCS) imefanikiwa kuhamasisha na kufuatilia suala la upatikanaji wa chakula shuleni ambapo hadi sasa wanafunzi wote hupata chakula shuleni. Hapa mwenyekiti wa kijiji akiwashukuru FCS na AFNET kwa mradi huu kwani umekuwa chachu ya maendeleo hapo kijijini.

Follow by Email
Instagram