Mafunzo ya usimamizi wa mradi wa majaribio utakaoibuliwa na jamii yenyewe kwa kamati ya ushauri iliyoundwa kutoka kijiji cha Wilunze wilaya ya Chamwino. Mafunzo haya yamewezeshwa na shirika la Foundation for Civil Society (FCS) na kufanyika katika kituo cha FCS jijini Dodoma.

staff afnet

Leave a Comment

Your email address will not be published.

Follow by Email
Instagram